Don't expected to be a millionaire if you're doing a poorman's business. And don't let anybody be an influence on how you do your business.
You're incharge of your own destiny. Don't regret saying someone made you do it. Where's your will?
You just did it and it was your decision to do it. Own up to your mistakes and move on.
In business there's always a risk.
Aim high and you'll succeed.
Monday, June 8, 2015
Aim High
Wednesday, June 3, 2015
Questionable motives...
Well, you meet a guy ukiwa folen benki au hospital. Mnaongea tu kupoteza mda waiting for your turn. Boys being boys, he asks for your namba.
What would you do?
Mimi, namkatalia kwa sababu give a guy your namba siku si nyingi anakutongoza, something that's pathetic in my opinion.
This is to say, usimpe mtu namba yako just like that. Ataanza kukusumbua afu ukajuta.
Tuesday, April 7, 2015
Kwa nini mahusiano yanapoteza uelekeo ndani ya mda mfupi?
Sababu mahusiano yanapoteza uelekeo:
1. Kazi
Wote ni wafanyakazi. Mpo bize sana hamna muda wa kukaa pamoja kuongea au kutoka out
2. Watoto.
Mke umezaa juhudi zako zote ni kwenye malezi unamsahau mume.
Mume hujihusishi na malezi ya watoto wako unamuachia mke ambae malezi ya peke yake yanamchosha.
3. Starehe
Kuendekeza starehe mpaka inafikia unamuona mwenzi wako mzigo.
4. Kutokujali
Kutojihusisha na shughuli anazofanya mwenzi wako kiasi anakuwa na mchepuko huna habari.
Kutokushirikiana/not sharing, kila mtu anafanya yake.
Hamuwezi kusema mnapendana kama ya hapo juu mnayaruhusu kwenye mahusiano yenu.